Thursday, 26 October 2017

DAR DERB NO RESULTS

SIMBA na YANGA ni mechi ya kusisimua  leo nataka niwape maneno mazuri sana kuhusiana mechi hiii ya watani wa jadi simba ni timu yenye matokeo mazuri sana kwa dar young african lakini tukumbuke yanga ni isiyosajiri wachezaji wengi sana na ina wachezaji wengi wanaocheza kikosi cha kwanza wanaojuana kwa mpila wao wa kasi na wa kukimbia sna
pia tukumbuke simba ina wachezaji wengi wazoefu na wenye kipaji cha hali ya juu sana wkiwa na emmanuel okwii mchezaji mwenye uwezo binafsi sana simba aitomsahau mchezaji huyu kamwe kwa kuwa na matokeo tofauti tofauti
Tar 28 tunaenda kucheki mechi nzuri na isiyokuwa na matokeo kwani timu zote mbili zina uwezo na zina mpila mzuri wanapokuwa uwanjani nawatakia mechi safi nushangiriaji safi MECHI ISIYO NA MATOKEO

No comments: