Wednesday, 16 August 2017

Klabu zote ziige mabadiliko ya simba

Wanachama wa klabu ya Simba wakiwa katika semina maalumu yenye lengo la kukuza na kujenga uelewa mpana zaidi katika muundo mpya wa klabu uliotokana na  mabadiliko ya katiba.

Mkutano huu umefanyika katika ukumbi
wa Mikumi Kurasini jijini Dar es Salaam

No comments: