Habari zenu wadau wa michezo leo nachukua fursa hii kuzungumzia mech kali kat ya swansea vs man u tar 19 mwez huu man u ni timu kubwa sana na yenye umaarufu na uwezo ikiwa uwanjan ila swansea ni timu iliyojipanga sana msimu huu na inawez leta changamoto ktk mechi yoyote ile tukutane pale kibanda umiza
x

No comments:
Post a Comment