Tuesday, 15 August 2017

Neymar aanza vyema awapiga bao guingump

Neymar ni mchezaji wa kujiamin sana sio kwamba namsifia ila ukweli kusema leo ntk nile iongeree msn iliyovunjika kwa neymar kutimkia zake PSG ila ni maamuz mazuri sana na yenye mafanikio kwake kwani ataweza kucheza kwa kujinafsi na ndipo tutjua neymar ni mchezaji wa aina gn kila la heri neymar uko PSG ila mpila mguuni

No comments: