Tuesday, 15 August 2017

Wamerejea kwa kishindo azam fc

azam fc kimerejea jjini dar es Salaam leo kikitokea uganda kujiandaa na Ligi kuu ya Tanzania bara uku mahasimu wakubwa simba na yanga wakiweka kmbi visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ngao ya hisani azam ni timu iliyopoteza wachezaji wake wazuri sana kama John boco aish http://url2it.com/gcbbpt

No comments: